Tandika shuka nyeupe chumbani kwako, chukuwa kitezo, fukiza ubani na ukichanganya udi wa mawardi kidogo itakuwa vizuri, koga panda kitandani, usinywe pombe aina yoyote, utadhurika. Hakikisha kitezo hakikosi ubani na udi. Ntakuja.
Tazama vizuri avatar yangu ntakuja kama nilivyo kwenye "back ground".