Wadau,
Juzi kati nilinunua Simu aina ya Nokia Asha 200. Niliwauliza wauzaji kama ina Internet wakanijibu inayo, na kweli baada ya kuichezea nikaikuta inayo internet.
Tabu inakuja sasa kutumia Whatsapp, nime-download ikaniambia kua Nokia Asha 200 inatumia obsolete version ya Nokia ambayo haikubali Whatsapp, sasa kuna jinsi yoyote ya kuweza kuichakachua hii simu ikubali whatsapp?
Nawasilisha!!