Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,577
- 10,244
Maajabu ni kwamba kwa maisha ya kibongo hiyo miaka ya kuanzia 19-30 ndio miaka ya tabu zaidi, Mtu anajitafuta na hajajipataMaisha ya binadamu ni mafupi sana, nayo yamejaa tabu na dhiki na raha kidogo. Kwa wengi.
Ila kuna muda kwa maoni na uzoefu wangu naona ndio muda mzuri, ila pia ni mfupi.
Ni muda wa Ujana , kabla haujawa ma majukumu na kabla nguvu, ashki, ari, hamasa hazijaanza kupungua.
Miaka 19-30 , kwangu ni muda sahihi wa Kijana Kufurahia maisha.
Umri huu ni muhimu kwa sababu huu ni umri wenye nguvu nying, uhuri wa kujaribu mambo mapya, na fursa ya kujenga msingi imara wa maisha yako ya baadaye.
Kipindi hiki kinakupa nafasi ya kujitambua na kuwekeza kwenye ndoto zako bila majuto ya uzee.
Kwa vijana wote. Enjoyin Ujana. Ila usile sana ukasahau kujenga msingi imara.
Nimewaza haya coz niko sehem natamani kukaa ila majukum yamenikaba sana. Na ni ya muhimu.
Hakika !Ujana ukiwa na watu/marafiki wema itasaidia sana kukua kwa ujana wako
Una kula ujana naona ππππ€£Ndo narudi nyumbn
dah ni fedheha.Maajabu ni kwamba kwa maisha ya kibongo hiyo miaka ya kuanzia 19-30 ndio miaka ya tabu zaidi, Mtu anajitafuta na hajajipata
Hapo hapo unasema ''enjoy''na hapo hapo unasema ''wekeza''. Observation yako pengine imekuwa ''made in Bongo for only Bongos'' zaidi. Kwangu mimi nadhani nchi zilizoendelea, wastaafu ndiyo wana-enjoy kuliko vijana. Pension za wengi ziko juu na wana uwezo wa kuzunguka dunia. Hawana stress za watoto wala wajukuu, wala kuwekeza kwenye biashara.Maisha ya binadamu ni mafupi sana, nayo yamejaa tabu na dhiki na raha kidogo. Kwa wengi.
Ila kuna muda kwa maoni na uzoefu wangu naona ndio muda mzuri, ila pia ni mfupi.
Ni muda wa Ujana , kabla haujawa ma majukumu na kabla nguvu, ashki, ari, hamasa hazijaanza kupungua.
Miaka 19-30 , kwangu ni muda sahihi wa Kijana Kufurahia maisha.
Umri huu ni muhimu kwa sababu huu ni umri wenye nguvu nying, uhuri wa kujaribu mambo mapya, na fursa ya kujenga msingi imara wa maisha yako ya baadaye.
Kipindi hiki kinakupa nafasi ya kujitambua na kuwekeza kwenye ndoto zako bila majuto ya uzee.
Kwa vijana wote. Enjoyin Ujana. Ila usile sana ukasahau kujenga msingi imara.
Nimewaza haya coz niko sehem natamani kukaa ila majukum yamenikaba sana. Na ni ya muhimu.
Raha ni zile zile mpaka tumezichoka sasa maana hawako na kitu kipya, Pombe, Mziki , uzinzi, hawana kipyausiku na asubuhi mambo yale yale, hizi raha zinataka kutupeleka msobe msombe
Aisee na kweli mambo ni yale yale, hapa asubuhi najaimsha nakutana na message tano za mishangazi kila mmoja unataka π¬π¬.. yaaani taaabu sanaRaha ni zile zile mpaka tumezichoka sasa maana hawako na kitu kipya, Pombe, Mziki , uzinzi, hawana kipya
Hapo hapo unasema ''enjoy''na hapo hapo unasema ''wekeza''. Observation yako pengine imekuwa ''made in Bongo for only Bongos'' zaidi. Kwangu mimi nadhani nchi zilizoendelea, wastaafu ndiyo wana-enjoy kuliko vijana. Pension za wengi ziko juu na wana uwezo wa kuzunguka dunia. Hawana stress za watoto wala wajukuu, wala kuwekeza kwenye biashara.
Hizi nguvu na nyege ukifika 40's+ huwez kuwa nazo.Aisee na kweli mambo ni yale yale, hapa asubuhi najaimsha nakutana na message tano za mishangazi kila mmoja unataka π¬π¬.. yaaani taaabu sana
Wanasema ukiwa unalombana sana ujana, uzeeni lasima utumie mkongojo kutembea huku umeinama kama unatafuta kitu chini sojui kweli hiyoo πHizi nguvu na nyege ukifika 40's+ huwez kuwa nazo.
Yaan unavyowapanga wanawake hadi 8 na wote una mahusiano nao na unawalomba kila mmoja kwa wakat wake. Jinsi umri unavyokuwa unaanza kupunguza hizo heka heka.
Ari, ashki, hamasa nyege zinapungua.
So enjoy while you Can.
Wanasema ukiwa unalombana sana ujana, uzeeni lasima utumie mkongojo kutembea huku umeinama kama unatafuta kitu chini sojui kweli hiyoo π
Hapa hata sijui nimkubalie yupo niache yupi , I wish wote niwapitie leo kila mmoja nimpe masaaa mawili , kurudi home kesho asubuhi then huyo kanisa