Enjoctor pump inahitajika

lwidia2k

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
620
Reaction score
1,300
Habari wana JF, naamini mpo salama na mna Afya njema. Nakuja kwenu tena nikihitaji hiyo spare part (enjoctor pump) ya mashine yangu Air compressor Jenbacher JW223.

Matatizo: inachelewa sana kuwaka, ni mpka ubust na moto mkubwa. Yaani uwe na battery 3 au 4 za kuanzia N70. Wakati stater yake ni volt 12 tu. Mwanzo ilikua vzr inawaka bila shida kwa battery moja la N70.

Ilianza tatizo taratibu kwa sasa nimeina limekua kubwa.

Nilienda kupima nozeli ikaobekana haina shida. Fundi mwingine akasema tatizo liko kwenye enjoctor pump.

Shida ni kua hiyo mashine ni yale matoleo ya zamani.
chini nimeweka picha za hiyo machine.

 

Attachments

  • IMG_20241120_092307_5.jpg
    921.3 KB · Views: 16
  • IMG_20241006_152608_902.jpg
    623.1 KB · Views: 23
  • IMG_20240227_140630_687.jpg
    900.5 KB · Views: 19
  • IMG_20240226_164749_755.jpg
    801.9 KB · Views: 19
  • IMG_20240226_161913_531.jpg
    651.5 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…