Wadau habari za jumatatu. Tumeunda kikundi na tunafanya kazi za kutafsiri. Editing, proof reading na
writting. Pia tunafanya kazi online kwa kutoa huduma hiyo. Yeyote anayefanya kazi kama hii, naomna atupe ushauri na mwongozo. Pia kama kuna mtu ana kitabu, makala, jarida au maandiko yoyote anahitaji huduma yetu tafadhali reply kwa
alophy@yahoo.com.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums