njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,801
Kwa wapenzi wote wa epl, tukuje hapa, hii ni thread yetu maalum kwa ajili ya kujua timu zetu tunazo shabikia, madhaifu ya kila timu na utani kwa wingi
Napenda tusiusishe matusi wala majina ya ajabu (cheltako,manyumbu,arse8)
Yoyote kwa yote tuwapongeze mashabiki wa man united kupata draw nying kuliko zile za kabati...