English is not our language

English is not our language

huyo boss hakumpa mwandishi wake maneno ya kuigizia wakati wa kuandika..

Matatizo ya ubashite haya
 
Startimes katika tangazo la filamu zijazo ipo SHOST FIRED (SHOTS FIRED) hata hivyo tumejaa na makosa mengi zaidi kwenye kiswahili kuliko kwenye kiingereza, angalia maandiko yanayotokea kwenye luninga zetu pia wanaosoma mazageti (magazeti) utakuta kongoro (korongo) hii inatokana na. elimu yetu, kiboko ya yote kwenye ujumbe nyuma ya malori na mabasi.
 
Back
Top Bottom