English Is A Phunny Language

English Is A Phunny Language

lbd nimechoka mbona sielewi??????????????
 
hahaha Indeed it is,yaani kwenye zile shule za asante mkapa ndø hivyo wanavyoongea kila cku,kuna kaukwel ndan yake.
 
mwalim wetu alikuaga anatuuliza 'is it comin comin?'
 
mwalim wetu alikuaga anatuuliza 'is it comin comin?'

Sis mwalimu ilikua kidogo unamsikia "enheee stop there there."
Kuna siku ndo alitia fora, tulimpelekea maswali akachemka akasemaje "You know this is not a president work." akimaanisha kwamba eti hii sio kazi rahisi. Kazi ipø.
 
Hahahahahaha dah! Huyo my teacher wenu ni tembo sio kiboko
 
Tulishajadili kwenye lile jukwaa la Lugha kwamba neno "ga" linatumika ndivyo sivyo japo mtumiaji anaeleweka na kuleta maana. nakumbishia tuu mkuu. ungeondoa "ga" bado ingeeleweka.
mwalim wetu alikuaga anatuuliza 'is it comin comin?'
 
Imekaa kiutani lakini wengi ndio huwa tunaongea hivyo mara nyingi!
 
Back
Top Bottom