english course teacher

english course teacher

wadau kama kuna sehemu mnapafahamu napoweza kusoma kozi ya kiingereza cha kuongea pia kama kuna mwalimu anaweza nisaidia naomba ni pm tuwasiliane, pia nahitaji darasa la computer

Kaka ujipata nijuulishe na mm natafuta
 
Back
Top Bottom