Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Wanatukana viongozi wa Nchi matusi ya nguoni halafu wanakimbilia Mahakamani kusema ni haki yao Kikatiba wenyewe wanaita freedom of expression, hakuna mahali ambapo English common law haileweki kama Afrika kwetu, hali inayopelekea kubakwa na kutumiwa vibaya!
Mzungu mwenyewe Uingereza ambaye ndiye mwenye common law ukimtukana Malkia wa Uingereza unakamtwa mara moja na hijalishi uko wapi!
Mzungu mwenyewe Uingereza ambaye ndiye mwenye common law ukimtukana Malkia wa Uingereza unakamtwa mara moja na hijalishi uko wapi!