English Classes for Tanzanians by Kenyans

Huniwezi mimi ni maji marefu, in English please
 
Wanatulisha😂😂😂
Utaskia potato sii chakula.🤣🤣

Wife's land.
Acha wenge wewe huku kwetu neno bibi halitumiki katika muktadha huo, kwanza wakenya mna kiingereza gani cha kutufundisha watanzania, hiko hiko chenye matamshi ya kikwenu eti 'nashon' badala ya 'neshen' kwa maana ya "nation"..give us a break!!
 
How can an accent be broken?
Accent is the distinctive way of pronouncing words by a particular person or a particular group of people. Accent does not detremine whether a langiage is broken or not.
But why Trump do not understand Indian English
 
If you are not good at pronunciation then you don't know the language.
This is to say that Kenyans aren't fluent in English at all.
Hujanielewa anamaanisha lafudhi, mfano mwarabu ama mahindi akiongea English unajua kuwa huyu ni mwarabu, ama mwafrika Sasa wewe unataka utamke matamshi Kama mzungu kabisa wa uk, acha utopolo hata kiswahili mtu unajua kabila lake ndicho anachokuambia
 
Acha wenge wewe huku kwetu neno bibi halitumiki katika muktadha huo, kwanza wakenya mna kiingereza gani cha kutufundisha watanzania, hiko hiko chenye matamshi ya kikwenu eti 'nashon' badala ya 'neshen' kwa maana ya "nation"..give us a break!!
Hawa nyang'au wanatamka agenesti badala ya against, ha ha ha wanachekesha sana😎
 
Kwamba wakenya wamejitolea kutufundisha kiingereza? Basi wanaona wanakijua sana ndio maana wanataka kuwa walimu wètu. Acheni mambo yenu bwana, tofauti kama ipo ni ndogo sana!!
 
Hujanielewa anamaanisha lafudhi, mfano mwarabu ama mahindi akiongea English unajua kuwa huyu ni mwarabu, ama mwafrika Sasa wewe unataka utamke matamshi Kama mzungu kabisa wa uk, acha utopolo hata kiswahili mtu unajua kabila lake ndicho anachokuambia
Kuitumia lufidhi yako ya kipuuzi tofauti na ile ya native speakers inamaanishi wewe siyo fluent, ndo maana unafundishwa matamshi ya maneno ya kiingereza.

Umenielewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…