England vs Brazil

Can you see this team winning the world cup on their own land?
i think, the need to work more hard!they might not even reach the quarter final!!!
 
mkuu EMT ulikuwa una maanisha nini na haya maneno!!!!kwa vile source ni wewe mwenyewe hope utanifafanulia!!!!!kuhashua, kuhashukwa,Hahashukwi,hahashui!!

Sorry sikuona hii post nilipokuwa kwneye simu.

 
Last edited by a moderator:
Mi naona Brazil kiukweli inabidi wajipange sana wakitaka watoke hapa walipo sasa..hakuna timu pale kuna wachezaji tu!
 
Ikicheza huko umangani Qatar jijini Doha mabingwa wa soka ulimwenguni,dunia,ulaya nk Spain wamewachapa mabingwa wa copa america Uruguay na kina Suarez na Forlan wakibaki wanajishikia viuno huku waarab wakiburudika na soka safi lililochezwa na namba 1 wa soka dunia Spain,viva Spain,glacies Fabrega en Pedro(3-1 Pedro mawili na Cesc 1)
Spain vs Uruguay 3-1 All Goals & Full Highlights HQ 06/02/2013 - YouTube
angalieni viuriz na tackling safi iliyofanywa na Sergio Busquets ikazalisha bao la pili lililofungwa na Pedro sambamba na pasi safi pale kati kwa bao la kwanza lililofungwa na Fabregas kiasi kipa kuona kiluweluwe,na gonga safi ya wana Barca David Villa,Cesc na kumpa Pedro kufunga bao la 3 la ushindi na kuwamaliza kabisa vijana wa Oscar Tabarez wazee wa Montevideo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…