England its like arabs countries.

England its like arabs countries.

Dr. Nsaji

Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
9
Reaction score
0
2.jpg 6.jpg 63.jpg a.jpg blac.jpg
 
Safisaanaaaa,waache nawao waione joto yajiwe,washen.z hawa walikua wanachochea nchi zakiarabu na zakiafrika wauawane wao wanachekelea kwa maslahi yao,huyo Pm wao cameron alikuja africa kama wiki2 zilizopita akawaambia wananchi wa west africa waige mfano wa waarabu waanadame wauane,mungu kamlipa hapahapa duniani,tunamuomba mungu vurugu zizidi maradufu ktk uk na zisambae ulaya yote waone je niraha au karaha?MUNGU ISIKIE dua hii amin.
 
Na bado, mpaka kieleweke! Wanadhani huko kwao ni peponi eeeh!!? Yamewakuta sasa!
 
waaafrika mnafanya nini mbona mnazubaa!!!
mkawaunge mkono kama wao wanavyo zifanyia nchi za afrika
............aaaaaaaaaggggggggggggrrrhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!
 
One thing now is very obvious ..

There is a GREAT POWER SHIFT sweeping all over the global..

No longer any Single Leader must have a confidence on his Power derived from his leadership... unless granted.. by his People!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom