Ivi mabeberu hawajatengeneza hyo mashine....!
Tungeiona sokoni..
Hata hivyo wanakwama sana, wameshalowea sana huku kwetu na wanatuona kila siku tunakula ugali, walitakiwa wadesign watuuzie wapige pesa.Mabeberu hawali Ugali hili ndio tatizo lkn wangesha design