Mpaka hapo ulipo umesha-design nini?
jamani DIT na MUST wanasoma ili wakafanye kazi ndo maana wanasoma harakAharaKA 3 years only, ila udsm ni wahandisi wanaosoma kwa makini sana 4 YEARS ili wakatenGeneze kazi ili DIT wazifanye, na wengine kuwA ACADEMICIANS. NENDA DIT UKaULIZE 80% YA WALIMU WAMESOMA WAPI PAMOJA NA DIT KUWA KONGWEA
jamani DIT na MUST wanasoma ili wakafanye kazi ndo maana wanasoma harakAharaKA 3 years only, ila udsm ni wahandisi wanaosoma kwa makini sana 4 YEARS ili wakatenGeneze kazi ili DIT wazifanye, na wengine kuwA ACADEMICIANS. NENDA DIT UKaULIZE 80% YA WALIMU WAMESOMA WAPI PAMOJA NA DIT KUWA KONGWEA
Mbona jf humu kuna vichaa sana...Mimi nimepangiwa electrical eng dit na naenda kusoma 4 yrz na sio kama uwezo wa kusoma udsm nilikuwa sina nilikuwa naweza kwenda kusoma course nzuri yeyote ya engineering.kila mtu na malengo yake na anataka nini,mimi nimechagua dit kwa mapenzi yangu nina tisa hila nina washikaji zangu wamechaguliwa udsm wana 3.mimi naamini kila mtu na malengo yake cha msingi unataka nini kwenye maisha sio jina la chuo.nadhani hayo mambo kuona kipi bora ubora wa mtu kipindi tutakaporudi mtaani baada ya miaka 4 ndio itaonyesha direction ya mtu sio majina ya vyuo tulivyosoma nadhani kama sisi 1st year tuna changamoto kubwa sana kuonyesha kweli tuna nia ya kuachieve kitu sio kupiga kelele tu
Naona hujanielewa vizuri... Naamanisha COET wako vizuri katika kudesign, Mfano in Civil work, ambayo designation inafanyika..
yap mitatu ni kwa ajili ya wenye dip tayar but f6 huchukua minne
Hueleweki ndiyo maana sijakuelewa! Mbona hujajibu hao COET wamesha-design structure ipi ya mfano hapa nchini? Hapo ulipo nadhani huwezi ku-design hata Culvert ndiyo maana longo longo nyingi! Vijana wa sasa mmejaa pomposity lakini inapokuja kwenye efficiency mko weupe! Support maelezo yako kwa vielelezo na siyo bla bla! Engineering field is not politics!
yah...ni kweli mkuu leo nilikuwa pale nilienda kuchukua joining instruction nilikuta na majina yote pamoja na wadip ambao wanasoma miaka 3.unajua sina muda mrefu humu jf ila nimegundua kuna watu wanapenda ushabiki humu jf.lazima tukubali kila mtu na malengo yake sio jina la chuo wala unataka nini chuoni mimi nina rafiki zangu wawili wanaingia second year nilikuwa nao special school..mmoja alipata div one ya pt 4 alipangiwa telcom eng udsm mwisho wa siku chuoni alibadilisha course kwenda education hapo hapo udsm mimi nilishangaa ila niliamini ni malengo yake.mwingine nitakutana nae dit anaingia second year yupo civil eng alihama kutoka udsm course(civil eng) kwenda dit kipindi cha kubadilisha chuo.kwahiyo kila mtu na malengo yake .sehemu zote mbili zitatoka product nzuri na mbovu hii inatoka na mtu anataka nini anapoenda chuoni.nadhani sisi maengineer wa baadae tunatakiwa kupeana changamoto sio kusema chuo changu kizuri hayo sio mawazo ya kisomi ya maengineer walimaliza na sisi maengineer watarajiwa tunaopambana kufikia malengo ya wenzetu waliomaliza sio kupiga kelele kama watoto wa shule ya msingi
Well said Makidunda
Ahahaha haya embu wale wa ud waje wajitetee hapa wanyanyue chuo chao...ahaha ili wakifika mtaani wale bata kwa kuwa wametoka ud
Soma tu mdongo wangu. Ni upogo tu unaona watu wanafagilia CoET mara cjui DIT, surely kwenye ajira huku huu utoto haupo kabisa. Kikubwa ukisha maliza chuo chochote we nenda haraka ERB usajiliwe kama Graduate Engineer, halafu ingia SEAP program kwa miaka mitatu kwa malengo na uvumilivu ili uwe Professional Engineer. Hapo ERB ndo wanajua nani ni nani na wala siyo desa za chuo A kiko juu ya chuo Z,ukishakuwa PE, hamna porojo ni kazi tu.