Kiufupi DIT wanatoa technicians na sio ma Engineer hata kama wanapewa shahada.Technician popote ndo mtendaji halisi.Engineers are planners ana Administrator.Mfano mafundi umeme wengi wazuri,mafundi mitambo wazuri,waashi wazuri,mafundi kompyuta wazuri n.k sio ma-Engineer.Lakn haina maana kwamba wao ni zaidi ya ma Engineer, ni tofauti tu ya majukumu.Km sı TCU,wanafunzi wengi wa DIT ni wale waliopata Div 3 tena za 15-16 na hao walıoanza na Dip.