Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,199
- 17,640
ProbablyNisaidieni wakuu!! Kuna tangazo la kazi uhamiani kupitia JKT
Mm ni degree ya Engineering nataka niapply
Kwel nitapa nafasi ya kwenda officer cadet wakuu
ProbablyNisaidieni wakuu!! Kuna tangazo la kazi uhamiani kupitia JKT
Mm ni degree ya Engineering nataka niapply
Kwel nitapa nafasi ya kwenda officer cadet wakuu
Bro!! I can not wright swalihi properly!but sorry next time i will do prove read!!!
![]()
HahahahCha kushangaza hii ni product ya UDSM.
Hata kusoma halijui
Kuandika kama bata.
Wazazi waliuza ng'ombe wakasomesha punda.
Sio kiswahili tu, hata kiingereza hujui mkuu.Bro!! I can not wright swalihi properly!but sorry next time i will do prove read!!!
![]()
umejitolea au mujibu.Nilienda jkt op ya kikwete
Hahaha aisee, Mkuu uofisa cadet tena uhamiaji?

, jamaa lmetia aibu ksengeMujibuumejitolea au mujibu.
kama ni mujibu tafta connection, maana ata mujibu op. mererani wataenda tu.
ata walioko uraiani wataitwa kazn