Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Mainjinia wakiwa na measuring tape mkononi walikuwa wanahangaika kupima kimo cha 'flag pole'.Ikawa kila wakijaribu kupima ile flag pole,measuring tape inaanguka kabla hawajafika juu.Mwanamahesabu mmoja akafika akaamua kuwasaidia,akachomoa ile flag pole,akailaza chini,akaipima kwa ulalo kisha akawapa jibu.Mainjinia hawakuridhika na jibu wakasema sawa umetusaidia kupima UREFU lakini sisi tunataka KIMO!.