Engineer Soma hiyooooooooo!

Kirahisi rahisi tu hivyo!! Mbona mimi haujanipa pole ya kufanya maamuzi magumu!! Unafikiri kumuacha ilikuwa kazi rahisi eeeh!!
Kwa nini umuache lakini...
Mimi kila kona namkuta anakuita baby wake
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Haki hapa kuna namna, sio wewe ulikuwa unaniletea taarifa za kumkuta vichochoroni na vibinti!!! Leo kawa malaika eeeh!!!!!

Hiyo kuniita baby ni shield tu ili kuficha maovu yake.

Ule ulikuwa utani wao tuu auntie.... Hakuna awali mbovu ujue! Mwisho wa siku wewe ndo bi mkubwa!
 
Nakuunga mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…