GE2025 Kambarage Wasira (mtoto wa Stephen Wasira) achukua fomu ya ubunge jimbo la Bunda Mjini

GE2025 Kambarage Wasira (mtoto wa Stephen Wasira) achukua fomu ya ubunge jimbo la Bunda Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kambarage Wasira (kushoto) akichukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge Bunda Mjini.

Kambarage amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumanne Juni 30, 2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Bunda, Evodia Zumba katika ofisi chama hicho wilayani humo.
1751285586129.png
 
View attachment 3389230
Bunda wanatumia timezone ya Australia, Bunda mjini leo ni jumanne
 
Bei ya fomu iongezewe iwe mil 1.5 Kwa kila fomu

Muda umekimbia Sana laki 5 hata Mimi naweza kwenda kuchukua nikiamini kabisa walevi wezangu ambao NI wajumbe watanichagua kunisapoti mlevi mwenzao .walevi hatutupani
 
Bei ya fomu si tatizo, vigezo vya kuwa mbunge vinadilishwe kabisa

Viwe very high, si sasa kila mtu anajibebea form for nothing
 
Duh ila huyu mwana peace sana
Tukiacha usiasa pembeni
Ngoja tuishie hapo

Ova
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kazi tunayo kwa kweli.

Eng. Kambarage Wasira ambaye ni mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amechukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Bunda Mjini, Maji ufata mkondo.
Screenshot_20250630_190640_Instagram.jpg
 
Safi sana, Sasa COVID-19 Esther Bulaya na wenzake wajue kabisa CCM inawenyewe na wenyewe ndio hao Sasa.
 
Rizi one
Bint wa samia
Malecela
Wariob
Salma
Bulrmbo
Kipi warioba
Nk
Nchi yao hii TUFANYAJE???
 
Back
Top Bottom