Habari ndugu wana JF. Mimi ni muhitimu wa B. Eng (Civil), mwaka 2024. Nakiri kuwa sijawahi kufanya interview yeyote utumishi hata sehemu nyingine. Nawaombeni wale mabraza na dada zangu na wakubwa zangu wengine waliopo kwenye fani hii na wana uzoefu na interviews katika nafasi zinazotangazwa...
www.jamiiforums.com