ungesema ww unataka kuifunga katika gari gani? maana kunakuModify magari km ya Volkswagon, Corolla nk sasa ukitaja hiyo Body uliyonayo wataalam watajitokeza kukuelekeza na kukupa ushauri wa Gearbox iwe manual au AT
Asante sana kwa ushauri ndugu yangu.
Hapa mkuu kuna tatizo ambalo lazima uwe makini nalo...Naombeni ushauri kujua ni engine gani za Toyota chini ya cc2000 ambazo hazisumbui na spear zake ninapatikana kwa wingi na kwa bei rahisi? Wengine wanasema ni 5E kama za Toyata Raumu na wengine wanasema 4E kama za Toyota Starlet au Corolla. Pia nimesikia 7A kama za Spacio na 3S kama za Rav4 za zamani. Nipo njia panda, msaada please!!!
Hapa mkuu kuna tatizo ambalo lazima uwe makini nalo...
1. engine za corolla AE90 - AE 110 ni 5A na zimezoeleka kwamba hazili mafuta hizi kama ilivyo 2E na 4E takribani ni 1500cc....
mkuu 5Endio kama 7A ila sasa kwenye 1NZ tatizo ni mafundi wetu na vema usichukue yenye supercharger ili kuepuka baadhi ya usumbufu.. kama wanavyoteseka na engine za VVTI ndivyo wanavyoteseka kwenye hizi mashine zote mpya zinazotumia mfumo wa umeme!!! Wanatulazimisha turudi kwenye Pijo na zi One - O - Nine!!Nimekusoma mkuu, asante kwa mchango wako. Umeongelea kuhusu 5A za Corolla na 4E za Starlet ambazo umesema zimepitwa na wakati. Vipi kuhusu 5E? je nayo imepitwa na wakati? Nimeipenda sana Raum kwani naona ipo juu na CC zake ni ndogo ukilinganisha na Spacio. Lakini naona kuna zenye 5E na 1NZ. Je, ipi imetulia? Pia naona Spacio mpya nazo zina 1NZ. Je, hizi engine za 1NZ ni nzuri au presha tupu?
mkuu 5Endio kama 7A ila sasa kwenye 1NZ tatizo ni mafundi wetu na vema usichukue yenye supercharger ili kuepuka baadhi ya usumbufu.. kama wanavyoteseka na engine za VVTI ndivyo wanavyoteseka kwenye hizi mashine zote mpya zinazotumia mfumo wa umeme!!! Wanatulazimisha turudi kwenye Pijo na zi One - O - Nine!! Ila kama una ubavu nunua gari hilo jipya kabisa na si hizi zi-recondition au used ili ulitumie kwa muda mrefu, hata siku likianza kuroga mafundi watakuwa wameshapata ujuzi! Vinginevyo cheza patapotea
Poa Kiongozi, nakutakia kila la kheri.:welcome:Mkuu, asante sana. Mimi nafikiri nitaelekea kwenye 5E Kwani nataka cc1500 kwani naona 7A (1800cc) ni kubwa sana kwangu. Hahahaa, umenikumbusha mbali sana enzi Pijo na 109. Mambo ya carburators hayo. Tatizo mafundi wetu hawapendi kurudi darasani na kujifunza mifumo mipya.
Vipi engine ya corolla sprinter mkuu?Hakuna engine nzuri kama engine ya Suzuki Carry.. Iko so robust.. Sema zinakufa mapema kutokana na overloading!
Vipi engine ya corolla sprinter mkuu?