Engine Ft mchomvu wamchana vibaya Darasa na wasanii wengine katika nyimbo yao ya MBASHARA

Granter

JF-Expert Member
Dec 11, 2016
483
361
Hii inakuaje kutoka na kiki yakumsiliba Mwenzio

Wimbo wa engine Ft mchomvu wamewachana wasanii kama
1.Darasa

2.Harmonise

3.Ney wamitego

4.Sterio

5.Joh makini

6.Godyzillah

7.Mr.blue


Kwa mwendo huu sanaa ya Bongo hatutafika
 
Tupia basi ngoma kama ipo karibu,,,

Lakini Mbona nyakati hizi za muziki wetu huu hilo si lakushangaza sana, labda kwa sababu wameishiwa vitu vya kuandika (Ukomo wao wa uandishi).
 
Hao wasanii waliochanwa wote nawajua na kwa mtazamo wangu wanajua kuimba.
Sasa mbona hao wachanaji simjui hata mmoja wao! wameshawahi kuimba wimbo gani?
Wasitafute cheap popularity
 
Haa haas haa weka
Ngoma mkuu tuskilize
Me nnaham yakumskia
Tu mchovu alivo wachana

Af tusubr ney arujibu
Mapgo maana mzeee
Mzma hachelewag huyo
 
Inanisumbua kidgo kuipost coz ni audio sio video


Bt iko released
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom