Asante Mbongopopo, nitajitahidi ninunue ya bei ya juu kwani namthamini sana mpenzi wangu na pia nampenda sana. Ngoja nijipange fresh, i hope ataifurahia.
The Finest, hilo Duka laitwaje? Na je wanafungua jmosi? Maana mi ofisi ipo mitaa ya Mwenge hivyo Posta ni mpaka Jumamosi na Jumapili tu. Shukrani sana mkuu kwa info na Wish you the best towards your wedding.