Engagement Ring kwa mwanamke tu, kwa nini?

kwa sababu manaume mara nyingi ndo wana-aproch ingawaje now days wanawake now wamo..., mwanamke akishavaa engagement ring mens wanapunguza speed.
NPL,
karibu kwenye geti tugedha kuna maswala tunajadili.hebu ni-pm
 
somebody has quoted a book of TOBITH is it a history book,wise sayings book or a religious book?
haipo katika vitabu vyetu 66 vya biblia tulivyonavyo
nifahamisheni wajameni
 
somebody has quoted a book of TOBITH is it a history book,wise sayings book or a religious book?
haipo katika vitabu vyetu 66 vya biblia tulivyonavyo
nifahamisheni wajameni

Hicho Kitabu kipo kwenye biblia ya Kikatoliki na mimi ninayo hiyo Bible.
 
yap! Engagement ring ina maana sana kwa wanawake kwani humtambulisha msichana kama amepata mchumba ili watu waweze kum kwepa kama ukoma!

Wadau hayo ni maoni tu!
 
hahaha nani kakwambia wanapunguza ndo wanajifanyisha ooh hivi kwa nini sijakuona ,jamani nani huyo kaniwahi ,mala ooh jamani mrembo nilikuwa wapi siku zote teteteteh nia yake mmmh hata simaliziii......


aha ahahahah,kwanza ulikuwa FL1? sijakuona siku kadhaa humu ati? anyway najua mambo ya x mass na shem,ok lakini kwa ukweli sio kwamba inaleta heshima flani kwa mtu mtsaarabu hawezi hata kukusimamisha na kukutongoza,
 
haha kitamba kaka, hiyo kali

umekuwa kule uchagani wanapeleka sale na mbege tu tayari., mpe pete dada huyo naye afurahiye maisha ya uchumba
 
Ngoja nim-engage Nguli...akiendeleza bifu na burn namvua pete yangu!!
He! Kumbe bht na nguli mambo flani?

nauonesha umma am proud of whoever aliyenivisha na nampenda ile mbaya!!!
Dah! Namwonea sana wivu nguli!

ndo hapo sometimez mie huwa sioni hata kwa nini sisi tunavaaa
FL1 unataka na wanaume wavae engagement rings? Mi nachokiona mwanamke anapochumbiwa afu asivalishwe hiyo pete anajiona kama ana nuksi.
 
He! Kumbe bht na nguli mambo flani?

Dah! Namwonea sana wivu nguli!

FL1 unataka na wanaume wavae engagement rings? Mi nachokiona mwanamke anapochumbiwa afu asivalishwe hiyo pete anajiona kama ana nuksi.


unaleta hatari sasa hapa
 
Wanaume kuvaa pete no thank you

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom