engaged 2007 and still waiting for a beautiful wedding!!!!!

Ngoja wasubiri subiri labda wakue kidogo....lol!!

Babu DC!!
 
hapo hamna kitu jombaaa....coz if u can get free milk why keep a cow????
 
nadhani yeye hajazaliwa mwanamke, manake hapo kamtusi hadi mamake
watch your language buddy. Jaribu basi kuwaheshimu hawa dada/mama zetu. Be gentle japo kidogo.
 
Uyu dada namuonea huruma kama kweli bado anaamini kua jamaa atamuoa % kubwa imekula kwake itakua chanzo cha kuwachukia wanaume wakati mwenyekosa ni yeye
 
Mweeh! Si bora awe single kieleweke na kwa mda wote huo angeshapata mtu na ndoa juu
 
Dah pole yake mdada.... Kuna mwingine alitolewa mahari Dec 2011 na kuvishwa pete mpaka leo hakuna dalili ya ndoa....

My lawyer Ruttashobolwa kutolewa mahari sio issue....
 
Last edited by a moderator:

kwa hizi hasira,ninahisi utakuwa muhusika.
 
Babu Dark City shkamoooo.

Nimekumiss kweli kweli, kesho jioni nitakuja na kitukuu chako kukusaidia kukoka moto unisimulie hadithi.


Hata mimi pia,

Nitafutahi kukaona kabro kanavyoendelea....

Naamini women's day ilikuwa poa...

Babu DC!!
 
Nimejaribu kupitia comment za hio mada! Kila mtu anatoa sababu zake na kukosoa pia ukweli inabakia wapi je ukomo wa uchumba ni upi!?mwaka mmoja miezi sita au miwili! Na sio kila uchumba hufuatia ndoa! Kuoa ni process inayohitaji ushirikiano si wa pande moja kwanza waoanaji na familia zote mbili pili kipato!! Kuna wachumba wengine wanapendana sana wanafikia kuweka commitment ya uchumba ilhali bado masomo yanawasubilia, au target za muoaji hazijakaa sawa Lkn kutokana na msukumo wa penzi wahusika wanaona ni bora washikane kwa style hio!! My point Kama bado wanapendana ni vema kuwapa nafasi na sio kukatishana tamaa! Ndoa haina expire date!!
 
Mmmh kuna watu wana uvumilivu aisee sina muda huo mchafu.
 
Duuu
Ni mvumilivu aisee. 7years ya engagement.
 
Ndugu presentation ya mada yako ina mushkeli...imekaa kimbea mbea!!! You would rather have it as an example then have us discuss ni muda gani sahihi kuishi katika uchumba!

Mtazamo wangu:

-urafiki

Huu unaweza kuchukua muda wowote unaotaka. Huu ndio muda wa kufahamiana na kumjua mwenzio..mapenzi yake..dislikes. Marafiki zake...ndugu zake...it goes deeper with time!

Hapa ndo utasikia titles kama Girlfriend/Boyfriend..hii tu ni kuonesha uwepo wa another interested patry in ur life.

Mnapofika mahali mmekubaliana kuwa you two can live together, you jump to the next stage...

- uchumba


Usiwe zaidi ya mwaka mmoja kwa kweli.

Huu si wakati wa kumfahamu mpenzi wako. Ni wakati hasa wa kupanga mipango ya ndoa.

- ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…