Eng Patrick Mfugale Flyover TAZARA, kufunguliwa leo?

Hili ni daraja kama lile la mkapa au rufiki kwa mfano mzuri ni kama lile la pale mtoni kijichi
 
inawezekana umekulua kijijini na hujui hata maana ya foleni, mtu yyte aliyewahi kukaa foleni kwa masaa matatu hako kasehemu hawezi kuelewa unachotaka nini, kupoteza muda hayo masaa ambpo mtu angeenda kazini kuzalisha na kukuza kipayo chake lkn muda wa kazi anaupotezea kwenye foleni huoni hilo?
 
Eng Patrick Mfugale kwa kuongozwa na Mh Magufuli wakiwa Wizara ya Ujenzi walipigana sana kupata ufadhili wa mradi huu.
Hizo ndio habari toka Tanroads.
hivi waziri wa ujenzi huwa ndio anatafuta wafadhili kwa ajili ya kujenga barabara
 
Nenda Mahakamani ukaweke zuiyo... Utadhani hujui taratibu na sheria za hii nchi..
 
Hivi kuutupa mkebe wangu Azam na Dar Group wapi karibu zaidi!?..
 
Mkuu huyo ni mwanaume wa kanda maalum vijijini.
 
Hilo jina tu halina maana yoyote, ingekua kapewa umiliki hapo tungelalamika, nimi binafsi sijali hata lingeitwa madenge au pimbi flyover kwangu sawa, ilimradi tunapita Kama kawa
 
Hilo jina tu halina maana yoyote, ingekua kapewa umiliki hapo tungelalamika, nimi binafsi sijali hata lingeitwa madenge au pimbi flyover kwangu sawa, ilimradi tunapita Kama kawa
Jina la Eng Patrick Mfugale lina maana sana.
Daraja hili lingeweza kuitwa kwa jina la wanasiasa wengi tu kama ilivyo kawaida yetu waTanzania.

Katika kipindi chake hakuna madudu ndani ya TANROADS ambayo hata tetetesi tumezisikia.
Barabara zimejengwa kwa mamia ya kilometa nchini kote.
Mfugale ni mtu makini sana.

Na vile vile ni hehima kwa Wahandisi wote Tanzania kuwa mwenzetu wa niaba ya wahandisi, ameweza kutambulika kwa mchango wake kwa Taifa.
Hilo usilisahau.
 
Mioyo ya wapinzani imejaa husuda.

Daraja litatumiwa na wananchi wote bila kujali itikadi zao.

Tuunge mkono mambo muhimu kama haya.
 
Huyo Eng. Mfugale ndio ametoa pesa za kujenga hiyo Flyover?
Chadema kile kibanda chenu mnachoita makao makuu ni hela binafsi ya Mbowe au ya Chadema? Kama ya Chadema hivi mabilioni yote ya ruzuku ndio mwaweza miliki Lile Banda kama ndio makao makuu?
 
Umeongea kweli tupu mkuu. Tumpe Credit.
 
Afadhali this time jina LA mwanasiasa halijabandikwa pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…