Eng. Pamela Maasay: Siogopi kuvuliwa wadhifa huu

Eng. Pamela Maasay: Siogopi kuvuliwa wadhifa huu

Imma Saro

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
394
Reaction score
197
Maasay alikuwa akizungumzia maoni ya baadhi ya wajumbe, yaliyotaka waondolewa kwenye Bunge hilo kutokana na hatua waliyochukua. “Kuna maombi yametolewa yakitaka wajumbe tulioteuliwa na Rais (wale 201) tuliotoka bungeni tuvuliwe ujumbe, kimsingi sina hofu ya kuondolewa ndani ya hilo Bunge kwa sababu nasimamia Rasimu ya Katiba ambayo niliteuliwa kuifanyi kazi,”alisema Dodoma. Siku chache baada ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba (Ukawa) kutoka bungeni, Pamela Maasay amesema hana hofu ya kufukuzwa ujumbe wa Bunge hilo kwa sababu ya kutetea kazi iliyompeleka bungeni. Maasay alikuwa akizungumzia maoni ya baadhi ya wajumbe, yaliyotaka waondolewa kwenye Bunge hilo kutokana na hatua waliyochukua. “Kuna maombi yametolewa yakitaka wajumbe tulioteuliwa na Rais (wale 201) tuliotoka bungeni tuvuliwe ujumbe, kimsingi sina hofu ya kuondolewa ndani ya hilo Bunge kwa sababu nasimamia Rasimu ya Katiba ambayo niliteuliwa kuifanyi kazi,”alisema. Alisema kushiriki mijadala isiyo zingatia msimamo wa wananchi, ni kushiriki kunyima haki Watanzania na kutokuitendea haki kampuni yake ambayo kutokuwapo kwake kazini, inapoteza fedha. Maasay anayetoka kundi la wajumbe wateule 201, alisema kutokuwepo kazini, mwajiri wake kampuni ya CocaCola Kwanza, inapoteza Sh400 milioni. Alise sababu ya kuungana na waliosusia Bunge ni kwa kuwa amegundua hakuna nia wala dhamira ya dhati ya kufanya kilichowapeleka. “Bunge limekuwa la majigambo na mashairi, kila anayesimama kuchangia mjadala hajadili rasimu bali yale anayojisikia kueleza, kana kwamba hakuna kanuni,” alisema. Alisema baada ya mwenendo wa Bunge kwenda kinyume na matarajio, CCM walipaswa kuwa wa kwanza kusitisha mchakato wa Katiba. Alibainisha kuwa hakuunga mkono kutoka nje ya Bunge hilo kwa sababu waliyofanya hivyo ni Ukawa, angefanya hivyo kwa kundi lolote. Chanzo gazeti la kila siku Mwananchi;
 
rasimu gani anayoisimamia? hivi kumbe.kuna mainjinia ambao akili zao hazina akili? si ajabu amepewa ofa ya kwenda kula raha na mwenyekiti dubai
 
Pamela ni mwanaharakati tosha tangu pale UDSM, ni kweli walikuwa pale kujadili rasimu ya katiba ya WArioba ambayo ndio ya wananchi lakini sasa wanawekewa rasimu ya katiba ya lumumba wapi na wapi
 
rasimu gani anayoisimamia? hivi kumbe.kuna mainjinia ambao akili zao hazina akili? si ajabu amepewa ofa ya kwenda kula raha na mwenyekiti dubai

hivi unajua hata ulichoandika,,,,hebu jaribu kusoma tena kidogo basi ujiridhishe kama uko sahihi
 
rasimu gani anayoisimamia? hivi kumbe.kuna mainjinia ambao akili zao hazina akili? si ajabu amepewa ofa ya kwenda kula raha na mwenyekiti dubai

Kuna watu kama wewe wanafikiria kwa kutumia ........... badala ya kichwa
 
Pamela ni moja ya wajumbe wale wachache walioweza kuwa wakweli tofauti na wazeke walioonekana wakijadili huyu kavaa nini? kasuka vipi?

 
safi sana hawana uwezo owa kukufukuza wanapiga tuu kelele hata kikwete sheria zinambana usiogope chochote harakati mwanzo mwisho
 
Makonda ni kijana lakiini hapa Mwisho wa matatizo hata mwenyekiti wa TANZANIA KWANZA SAID analijuwa hili
 
hivi kwani hao wabunge na wawakilishi nani aliyewapa hizo kazi za kuandika katiba
acheni vitisho mtu akisapoti kitu mnaanza chokochoka na maneno aiwezekani watanzania milioni 45 tuwe na fikra sawa
lazima kutofautiana na ukawa wameonyesha njia mleta mada una lingine jambo na wala si hilo unalo taka kuwaaminisha watu
 
Huyu ndio Eng Pamela mwanadada jasiri
1505406_638992686184729_7996593232819965205_n.jpg
 
huyu pamela itakuwa ameahidiwa ubunge wa viti maalum
 
niko sahihi asilimia mia

Vipi bro unatumia bange ya wapi? Nina ku pm basi unipe mchongo maana hiyo yako ya ukweli huku kwa weupe naweza iuza sana kwa maana bangi za huku mpaka uchome nusu gunia ndo angalau unapata ashiki, si ndo maana imeruhusiwa kuuzwa bila vikwazo. Ukinipa hiyo yako wiki tu watatangaza bangi ni haramu huku.
 
rasimu gani anayoisimamia? hivi kumbe.kuna mainjinia ambao akili zao hazina akili? si ajabu amepewa ofa ya kwenda kula raha na mwenyekiti dubai

Wewe jinga kweli, hujui rasimu iliyoko bungeni? Nyambafu
 
Intarahamwe ccm wasichotaka ni kuijadili rasimu ya katiba ya wananchi iliyoletwa na warioba... wanataka tujadili mawazo ya awa mapunguwan kina lukuvi, wasira na mgonjwa jk
..
 
Back
Top Bottom