Wakuu,
Leo wakati mkuu wa nchi anakagua pale Ubungo interchange, ni dhahiri kabisa mkuu kuna kitu kimemuudhi, yule hisia zake hazifichiki, nadhani kuna kitu Mfugale amemkwaza Mh Rais.
Mimi binafsi sikupenda Mfugale alipokuwa anatoa maelezo kwa kutumia lile lifimbo lake la kutembelea kila mara analiinua juu, ule ni ukosefu wa nidhamu hasa unapoongea na mkuu wako, nadhani na yale majibu aliyomjibu Waziri Mkuu pia yamemkwaza Jiwe.
Nadhani Mh. Mfugale haikuwa vizuri kutokutekeleza maagizo ya waziri mkuu. Ingawa anaweza asitolewe kwa sababu ya uadilifu na misimamo yake, maana TANROAD ukiweka fisadi lazima panuke
😂😂😂😂😂😂😂😂Daraja la morogoro limedondoka tena kwa kasi ndiyo sababu ya kununiana
Unajua saikolojia ya wezi huwa iko hivi, ukiwa mwizi unakuwa unajua kuwa kila mtu ni mwizi kama wewe ulivyo mwizi, wakati siyo!Wanafahamiana vizuri hao. Mfugale ndiyo mkusanya 10% kuanzia Jiwe akiwa Waziri wa Ujenzi. Ndiyo maana hata mwenyewe wala hajashtuka. Ondoa wasiwasi Jiwe hajakwazwa na Mfugale. Hao ni ndege wa rangi moja
Nadhani Mh. Mfugale haikuwa vizuri kutokutekeleza maagizo ya waziri mkuu. Ingawa anaweza asitolewe kwa sababu ya uadilifu na misimamo yake, maana TANROAD ukiweka fisadi lazima panuke
Kama unajiita Makanyaga wewe mwenyewe nani atakuheshimu kama mwenyewe hujiheshimu.Unajua saikolojia ya wezi huwa iko hivi, ukiwa mwizi unakuwa unajua kuwa kila mtu ni mwizi kama wewe ulivyo mwizi, wakati siyo!
Ndiye anayetekeleza miradi ya chattle na ziwa na anaonekana amemshika mtu pabaya.Wanafahamiana vizuri hao. Mfugale ndiyo mkusanya 10% kuanzia Jiwe akiwa Waziri wa Ujenzi. Ndiyo maana hata mwenyewe wala hajashtuka. Ondoa wasiwasi Jiwe hajakwazwa na Mfugale. Hao ni ndege wa rangi moja