Eneo Linauzwa Goba Half London

Eneo Linauzwa Goba Half London

Sio kila Tajiri anataka Mali Yake itangazwe mitandaoni Kwa picha.

Ndio mana baadhi ya post zangu hazina picha lakini MTU ukihitaji nakutumia wasap au nakupeleka kabisa eneo husika
We sema labda ukiweka picha watu wakalijua hilo eneo watakuzunguka waende Kwa mwenye mali moja Kwa Moja ukose ada ya kumpeleka au Cha udalali.

Lakin sio eti mtu anauza kitu chake lakini hataki watu wakione.
 
Asante Kwa taarifa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom