God knows JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 276 Reaction score 173 Sep 24, 2017 #1 Habari wadau, Natafuta eneo la wazi la kuuzia chakula preferably posta. Ila ikishindikana kabisa hata kariakoo. Liweze kuruhusu angalau meza 10 za plastiki na eneo kubwa kwa ajili ya jiko na counter. Karibuni hapa au PM.
Habari wadau, Natafuta eneo la wazi la kuuzia chakula preferably posta. Ila ikishindikana kabisa hata kariakoo. Liweze kuruhusu angalau meza 10 za plastiki na eneo kubwa kwa ajili ya jiko na counter. Karibuni hapa au PM.
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,175 Sep 24, 2017 #2 kila la khair ndugu.