Eneo la kufungua car wash linahitajika Mwanza

kevoo 27

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
405
383
Habari wadau!
Natafuta eneo la kufungua simple hand car wash kwa mkoa wa mwanza wilaya ya ilemela.
Eneo ambalo naweza kuosha gari ndogo na pikipiki na liwe na uwezo wa kuegesha angalau gari ndogo nne kama vile hiace
Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom