Eneo la club Billicanas sasa ni stendi ya taxi au nimekosea?

Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
2,125
3,130
Maisha yanaenda kasi sana. Sikwenda mjini kwa miaka kadhaa hasa baada ya kuhamia uswekeni huku Goba.

Juzi kati nikasema ngoja nikaoshe macho kidogo kwenye jiji la Ilala (zamani Dar es Salaam). Nilipofika jirani na RITA sikuamini nilichokiona. Ilipobomolewa club ya mwenyekiti nilijua kutakuja kitu cha maana ila eneo limebaki utupolo.

"Tukumbuke kuvaa barakoa zinazotengenezwa nchini"
 
Kwanini unasema jiji la Ilala ilipokua Dar es Salaam. Sijakusoma?
 
Parking ya Taxi ni utopolo? Wanapack bure?
Taxi pale zinapaki kila siku, kushoto kulia, Java Cafe shell huku ttcl kila siku zipo taxi kibao.
Mishamba Sijui imetoka wapi inauliza kwanini taxi nyingi ilipokua Billcanass.
Are you serious????
 
Back
Top Bottom