M Mbalasi Member Joined Jan 4, 2015 Posts 10 Reaction score 5 Jun 2, 2025 #21 Bjorn said: Mimi pia nahitaji kiwanja ila kiwe na ukubwa wa square mita kuanzia 800 hadi 1200, maeneo ni either Kibamba shule, Kibamba Chama, au Gogoni na bajeti yangu inaanzia Millioni 5 mwisho 10 mill. Natanguliza shukrani wakuu. Click to expand... Kiwanja umeshapata mkuu?
Bjorn said: Mimi pia nahitaji kiwanja ila kiwe na ukubwa wa square mita kuanzia 800 hadi 1200, maeneo ni either Kibamba shule, Kibamba Chama, au Gogoni na bajeti yangu inaanzia Millioni 5 mwisho 10 mill. Natanguliza shukrani wakuu. Click to expand... Kiwanja umeshapata mkuu?
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,655 Reaction score 6,547 Jun 2, 2025 #22 Mbalasi said: Nina kiwanja 13x13m kipo MBEZI LUGURUNI-DSM bei yake 5m fixed. Karibu DM Click to expand... sqm 269 hata sehemu ya kuanikia nguo hupati
Mbalasi said: Nina kiwanja 13x13m kipo MBEZI LUGURUNI-DSM bei yake 5m fixed. Karibu DM Click to expand... sqm 269 hata sehemu ya kuanikia nguo hupati
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,158 Reaction score 12,945 Jun 2, 2025 #23 Mlolongo said: sqm 269 hata sehemu ya kuanikia nguo hupati Click to expand... 169 to be precise..