Endeleeni kununua binadamu lakini cha moto mtakiona

Endeleeni kununua binadamu lakini cha moto mtakiona

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,358
Reaction score
289,459
Maneno mengi hayavunji mfupa
Subpost 1 - Naibu Katibu mkuu Salum katika uzinduzi wa Kampeini kata ya Nsalanga.jpg

Hii ni jana kata ya Salanga Mbeya mjini .
 
biashara ya utumwa sio hiali, hata babu zetu walikua watumwa kwa lazma. waliokataa walambulia kifo kama akina Ben na kukoswa koswa kama Tundu Lissu. walio waoga wanakubali kuwa watumwa na kufikia kujiuza. jibu lenu mnaouliza wateja wa utumwa hutoka wap kwa kubeza .
 
Back
Top Bottom