Endapo UKAWA wakishinda October, wataunda Serikali ya mseto?

Endapo UKAWA wakishinda October, wataunda Serikali ya mseto?

Upuuzi huu anazungumzwa sana na wanywa gongo wenzako hapo ufipani ,tumieni muda huu muutumie vizur chadema imeisha
 
​Mbona NCCR waziri mmoja tu na vipi kuhusu NLD mmeshampiga chini mzee Makaidi???
 
ww unaesema alinacha kwani maccm wana hati kana kwamba nchi ni yao milele?au hao wameorodheshwa hapo ni warundi?ww ndo unaota za mchana.
 
Hivi we Bavicha unajua Waziri mkuu ana patikanaje? Hivi Lipumba ana gombea ubunge?
 
Eti mzee wa nyeti za kuku anachukua wizaragani?
Nilidhani Rwakatare anakua Mkurugenzi Mkuu-TISS?
Lema nae mboba hayumo kwenye list?
Nashauri Dj achukue hiyo wizara ya Sugu
 
Hahahaaa mbona imejaa Chadema? Lowasa anabaraza lake kabla hajaja Chadema ndo maana kakodi kugombea kwa pesa Pole yako mtoa mada
 
Mnadhani mawaziri wanateuliwa kirahisi kama mnavyoteua mgombea wenu wa urais?
 
Kwan bado mnandoto za kushinda urais?aaaaahaaaa tusijidanganye jamaniiiii ccm watashinda tu
 
Rais-Edward Lowasa.

Makamu wa Rais-Juma duni haji.

Waziri mkuu-James mbatia.

Waziri wa fedha-Haruna Lipumba.

Waziri wa Katiba na sheria Tundu lisu.

Waziri wa viwanda na biashara-Jusa.

Waziri mambo ya ndani-John mnyika.

Waziri Jinsia wanawake na watoto-Halima mdee.

Waziri wa kilimo- Ester bulaya.

Waziri wa Nishati na madini-Dr.slaa.

Waziri wa utalii-James Lembeli.

Waziri wa mambo ya nje-philimon mbowe.

Waziri wa ushirikiano Africa mashariki-Salumu mwalimu.

Waziri wa habari utamaduni na michezo-Joseph mbilinyi.

Waziri uwezeshaji-magnalena sakaya.

Waziri wa ulinzi-wilfred Rwakatale.

Waziri wa mawasiliano na uchukuzi-peter msigwa.

Waziri wa sayansi na teklojia-John mrema.

Waziri wa Afya-profesa safari.


Nawasilisha.

By November , baadhi ya hawa watakuwa wabunge wa kawaida tuu...na Wengine watakuwa na familia zao nyumbani...

Bora ungeota usiku !!
 
Soma nyakati wewe acha kukurupuka kama muuza bangi, hakuna cha bao la mkono wala la kisogo, CCM mwisho umefika!!!
 
Back
Top Bottom