Kama mwaka jana wananchi walimnyima kura akachakachua atashindwa nini? Kumbuka bado tume ya uchaguzi ni yake, polisi, jeshi (Shimbo) na usalama wa taifa wote ni wake!! Kwa katiba iliyopo hata Rostam, Lowassa ama Mkono wamiliki wa Dowans ambao kodi zetu ndio zitakazowalipa Tsh 185 billion, wakigombea urais wanapata!!!!!Ni miezi miwili imepita tangu Rais achaguliwe ila yaliyofanyika ni machungu kwa wapiga kura kwani yamekuwa kinyume kama ifuatavyo
1. Kupanda bei ya bidhaa mf gesi na mafuta, na umeme
2. Kashfa ya Dowans na ununuzi wa rada
3. Kurusu Arusha kuwe na mgawanyiko wa kisiasa ambao utaleta madhara siku za usoni
Kutokana na sababu izo nilizozitaja kama endapo uchaguzi mkuu ukirudiwa Mh Jk kupata urais ni NDOTO kwani ni miezi miwili imekuwa BORA MAISHA kwa watanzania na sio MAISHA BORA YENYE KUJALI WALE WA TABAKA LA CHINI.
Ni miezi miwili imepita tangu Rais achaguliwe ila yaliyofanyika ni machungu kwa wapiga kura kwani yamekuwa kinyume kama ifuatavyo

Tusipoteze muda kujadili kitu ambacho hakiwezi kufanyika kwa maana kwamba uchaguzi hauwezi kurudiwa. Tunachopaswa kujadili ni mambo tunayoweza kujifunza kutokana na uchaguzi uliopita. Lengo liwe ni kujenga mazingira mazuri ya huko tuendako ili tusirudie tena makosa, kama yapo.
Ni miezi miwili imepita tangu Rais achaguliwe ila yaliyofanyika ni machungu kwa wapiga kura kwani yamekuwa kinyume kama ifuatavyo
1. Kupanda bei ya bidhaa mf gesi na mafuta, na umeme
2. Kashfa ya Dowans na ununuzi wa rada
3. Kurusu Arusha kuwe na mgawanyiko wa kisiasa ambao utaleta madhara siku za usoni
Kutokana na sababu izo nilizozitaja kama endapo uchaguzi mkuu ukirudiwa Mh Jk kupata urais ni NDOTO kwani ni miezi miwili imekuwa BORA MAISHA kwa watanzania na sio MAISHA BORA YENYE KUJALI WALE WA TABAKA LA CHINI.
Kwani mkoa gani alishinda?:ranger:
Tembelea Kilimanjaro,Arusha,Manyara,Simiyu,Mara,Mwanza,Geita,Shinyanga,Dar Es Salaam,Kigoma,Rukwa,Mbeya,Iringa na Kagera kawaulize wananchi tena wa kawaida tuu then urudi.
Ni aibu Tupu kw huyo msafiri!!:ranger:
Acha kuwatukana mbwa!kwa tume hii ya Lewis Makame hata mbwa akigombea kupitia CCM atakuwa Rais
kwa tume hii ya Lewis Makame hata mbwa akigombea kupitia CCM atakuwa Rais
Acha kuwatukana mbwa!
PURE CRAP! kama huna cha kupost siukae kimya? Aggghhhh!!!!!Ni miezi miwili imepita tangu Rais achaguliwe ila yaliyofanyika ni machungu kwa wapiga kura kwani yamekuwa kinyume kama ifuatavyo