Xuma
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 683
- 196
Lkn wanajf twende mbele turudi nyuma JM kiac ana uwezo & then presentable!!!
Kuna rafiki yangu mmoja alisoma US chuo jirani na aliposoma JMarope, unaambiwa marope alikuwa mtu wa kujirusha sana lifestyle yake ilikuwa ya kihuni hata kuzidi wamarekani wenyewe chuo chenyewe alichosoma ni aina ya vile vyuo anamiliki mtu mmoja nakuendesha kila kitu yeye na chuo poorest academically.
Jamaa ananambia wamarekani waliposikia jamaa baada ya kuagraduate na kuja bongo kawa mwandishi wa hotuba za raisi wamarekani walishangaa sana na kujua kuwa basi bongo hakuna utratibu wowote wa kutumia akili wala busara katika kutafuta viongozi yaani walishangaa sana kuanzia lifestyle yake chuo alichosoma na mpaka perfomance yake academically!
Hii ni kwa mjibu wa jamaa angu aliesoma chuo jirani na chuo alichosoma January makamba not fiction true story jamani na kwa vile tulishaona mambo yake toka akiwa ikulu unafikiri tutegemee nini zaidi ya kuuza sura tu atakapopewa post yoyote serikalini nawasilisha...................................................