Endapo Mawaziri watagoma kujiudhuru

Endapo Mawaziri watagoma kujiudhuru

SokoroDar

Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
39
Reaction score
6
Kama Mawaziri watagoma kujiudhuru pamoja na kasfa zote za ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka ,je wananchi tuishie kupiga kelele tu au kuna hatua twaweza chukua achilia mbali sahihi 70 za wabunge ambazo bado ni process , hivi yaaani yaani hakuna kabisa yaani tunachoweza kufanya yaaani ...
 
Yaani huo utakuwa ni ujinga wetu wananchi,
 
Wakatae mara ngapi? Tayari wamekataa kikubwa tujadili tùfanyeje kuhusu hawa majizi.
Nijuzeñi huyu mkulima anafunga saa ngapi bùnge?
 
Njia ya kwanza na mhimu ninguvu ya uma kuamua bilakukoma au wajiuzuru au iwekama TUNISIA kamanoma naiwenoma JE MPOTAYARI
 
Njia ya kwanza na mhimu ninguvu ya uma kuamua bilakukoma au wajiuzuru au iwekama TUNISIA kamanoma naiwenoma JE MPOTAYARI

wee unaongea wakati uko huko unabeba maboksi, usitake kusakizia wenzako. rudini na nyie mlio nje mjiunge na wanaharakati si kupiga kelele kwenye mitandao. Ni kama mbwa anayebweka asiye na madhara
 
Njia ya kwanza na mhimu ninguvu ya uma kuamua bilakukoma au wajiuzuru au iwekama TUNISIA kamanoma naiwenoma JE MPOTAYARI
Nani, Watz? Utaishia peke yako tu. Kuwatetea Watz is completely wastage of time. Watz wanadhani kwa porojo zao eti wataikomboa hii nchi. Hawajui kuwa much sacrifice is needed or else tutaishia ku-post threads humu mpaka mwisho wa Dunia!
 
Iwapo mawaziri wa CCM WATAGOMA kujiuzulu dawa ni nguvu za wananchi kupitia viongozi wa vijiji. Tazama walivyofanya wananchi wa Same mgharibi
ANGALIA HAPAhttps://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/255750-waziri-wa-mifugo-david-matayo-apigwa-marufuku-kutembelea-jimboni-kwake-same-magharibi-leo.html
 
wananchi kuandamana nchi nzima kama walivyofanya ugiriki mpaka waziri mkuu akajiuzuru baada ya hali ya maisha kuwa ngumu
 
Kama Mawaziri watagoma kujiudhuru pamoja na kasfa zote za ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka ,je wananchi tuishie kupiga kelele tu au kuna hatua twaweza chukua achilia mbali sahihi 70 za wabunge ambazo bado ni process , hivi yaaani yaani hakuna kabisa yaani tunachoweza kufanya yaaani ...

Kwa kuwa mawaziri wetu ndio wabunge wetu pia,wakione cha moto wanaporudi majimboni kwa kupokelewa kwa mvua ya mawe ili kuonesha hasira zetu dhidi yao.
 
Mawaziri waachwe waendelee na shughuli zao na wizi wao, "huu ni upepo utapita tu" - JK
 
Wasijiuzulu,halafu ndo tutaamini kuwa serikali hii haina mpango wa kuwatumikia wananchi ila "wateuke wachache tu" Hili liendelee kuhubiriwa miongoni mwa wananchi kwa nguvu zote ili kuelekea 2015 wote wawe wameelewa, CCM na serikali waendelee tu kuchemsha huku CDM wanatoa elimu ya uraia kwa kwenda mbele. Huu ni wakati wa M4C
 
Kama Mawaziri watagoma kujiudhuru pamoja na kasfa zote za ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka ,je wananchi tuishie kupiga kelele tu au kuna hatua twaweza chukua achilia mbali sahihi 70 za wabunge ambazo bado ni process , hivi yaaani yaani hakuna kabisa yaani tunachoweza kufanya yaaani ...

so far hizo ni allegations, they're not yet proven, kimsingi kwa vile CAG report iko tayari na inaonyesha kuna ubadhirifu wa hela/mali za umma basi CPA or crime prosecution authority inabidi iingilie ianze kufanya kazi zake(investigation) na ikigundua kuna mtu anahatia then apelekwe mahakamani.

Hatutaki watu wajiuzulu tunataka watu wafikishwe mahakamani ili iwe ni mfano kwa wengine kua ukiiba mali ya taifa utaenda jela its that simple really!!
 
Njia ya kwanza na mhimu ninguvu ya uma kuamua bilakukoma au wajiuzuru au iwekama TUNISIA kamanoma naiwenoma JE MPOTAYARI

Haya ntakayosema hapa hayatofautiani na ya kwako na pia niliandika juz kama sio jana kweny thread nyingine! Ni hiivi
Kuwa hii nchi ni kama frash au extenal memo zingne sasa yamejaa ma-virus kibao kila sku wana delete(kwa kujivua gamba) jaman nani alisema ma trojan yanaisha kwa kudelete, wakiona pple power inawasumbua wanaanza ku-scan na ma-ant -virus ambayo yapo ni not updated hiv kwel jaman!?
Sasa ni bora ku-format tu kwa mgomo ili tuingize files upya!
 
Zomea zomea nayo inaweza kusaidia huku tukijipanga na zoezi la kuandamana hadi Ikulu
 
Back
Top Bottom