Sawa mkuu tusubiri mawazo ya wenginePoint umeongea mkuu
Watanzania tunasema kuwa chadema tunaizika rasmi 2020.Ingekuwa ishakufa ungelipwa iyo buku 7 yako?
Kwajiri ya propaganda?
Hapana, ni mngoni, mruguru, mnyakyusa, mnyamwezi, mhehe, mnyiramba fulani.Wewe ni mtanzania?
Ikifa na wwe ujira wako wa buku 7 utafika ukomo si uiombee iendelee kuwepo ili umalizie kibanda chako.Watanzania tunasema kuwa chadema tunaizika rasmi 2020.
Hutaki acha.
Ife ili uje upinzani wa kweli.Ikifa na wwe ujira wako wa buku 7 utafika ukomo si uiombee iendelee kuwepo ili umalizie kibanda chako.
Nipe miwani nisome ulichoandika kwa7bu maandishi hayasomeki hayoWatanzania tunasema kuwa chadema tunaizika rasmi 2020.
Hutaki acha.
[emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419]Mkuu siasa ina majabu mengi kuliko hawa walio ccm watageuka kuwa wapinzani
Chanzo cha upinzani ni mawazo mbadala
Ila upinzani kwa wanasiasa ni kujitafutia mkate wa kila siku na sio kukutetea wewe