Endapo bunge linapindisha/linapotosha kanuni kwa makusudi wananchi tufanye nini?

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Naombeni majibu jamani, hali ni mbaya sana bungeni. Hapa ndipo penye matumaini ya wanyonge na bado panatumika na watawala. Tuendelee kuvuta subira kweli?
 
do we have the parliament? ccm ina wabunge wangapi na ni percentage ngapi ya wabunge wenye elimu inayoanzi angalau kiwango cha Advanced Diploma? hao STD seven na form four failures iliyowajaza huko kwa kuiba kura, unawaita wabunge? what do they know?
 
From what happened yesterday in the Bunge, huyu mama atashindwa ongoza Bunge, wabunge watachapana ngumi, na ninaona Tanzania yenye machafuko kabla ya 2015. What CCM is doing ni divide - rule among the authentic opposition vs. partly opposition parties.
 
do we have the parliament? ccm ina wabunge wangapi na ni percentage ngapi ya wabunge wenye elimu inayoanzi angalau kiwango cha Advanced Diploma? hao STD seven na form four failures iliyowajaza huko kwa kuiba kura, unawaita wabunge? what do they know?

Mkuu kama huna hoja bora ukae kimya, maana nijuavyo mimi cdm elimu si kigezo saana
 
Back
Top Bottom