Habari mkuu..
Nina matatizo makubwa sana ya kifamilia, Mama yangu yupo polis mwezi unaisha huu sababu ya kupita eneo la shamba la mwekezaji wakati mimi nipo chuo na nimekosa mkopo mambo yameenda ndivyo sivyo..
Nimekosa hata nauli ya kwenda kumsabahi mama yangu likizo hii fupi..ingawaje wajomba zangu wanahangaikia atoke natumai watafanikiwa ,tatizo na wao mifuko imekauka..
Hali hii ilipelekeage niandike uzi huu
Ninahitaji mkopo wa Tsh 350,000 , dhamana vyeti vyangu vya elimu
Naomba msaada wako mkuu kama utaguswa ..nisingependa kushindanishwa ..
Ukinipa hio hela nitampatia huyo kijana hapo juu kwasababu naamini anaihitaji kuliko mimi.Habari za jumapili wanaJF,
Kwanza namshukuru mwenyezi Mungu kwa pumzi aliyotupatia mpaka tumefika mwisho wa mwaka kwa neema yake pia tutauona mwaka mpya.
Kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa yote aliyonitendea kwa mwaka mzima narudisha shukrani kwa jamii.Najitolea kumpa member mmoja kiasi cha shilingi 100,000/= kama shukrani..
Ili kupata pesa hii niambie unadhani ni kwanini unastahili kuipata na utaifanyia nini..nitasoma comment na mshindi nitamchagua 2/1/2018..Asanteni sana.
Hahahaa bora umesema ya moyoniMimi nitainywea bia na kuhonga yote kwa siku moja. Nitaichezea biko na tatu mzuka si ya kupewa.
Kwanza Mungu akubariki na herI ya mwaka mpya...kwanza kabisa nastahili kupata 100,000 kama moja ya matoleo yako. Mimi binafsi nikipata hiyo hela na ninaomba sana niipate itanisaidia katika matibabu yangu...Currently nmekuwa vibaya sana kifedha na ninahitaji Fedha kwa ajili ya dawa. Mungu atakubariki sana kama utaokoa maisha yangu kwa kunisaidia pesa za matibabu sababu nimekwama kifedha na ninahitaji kutibiwa mapema kabla mambo hayajawa zaidi. Nmekutumia document zote za matibabu yangu ya hospitali PM kwa uhakika zaidi kama utaguswa kutoa. Mwisho kabisa nakuombea kwa MUNGU azidi kukubariki mara elfu na uzidi kutoa kwa wengine....Heri ya mwaka mpya.Habari za jumapili wanaJF,
Kwanza namshukuru mwenyezi Mungu kwa pumzi aliyotupatia mpaka tumefika mwisho wa mwaka kwa neema yake pia tutauona mwaka mpya.
Kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa yote aliyonitendea kwa mwaka mzima narudisha shukrani kwa jamii.Najitolea kumpa member mmoja kiasi cha shilingi 100,000/= kama shukrani..
Ili kupata pesa hii niambie unadhani ni kwanini unastahili kuipata na utaifanyia nini..nitasoma comment na mshindi nitamchagua 2/1/2018..Asanteni sana.
Pole sana my dear sote tunajua maumivu ya mama haswa kama umri umeenda alafu yupo ndani kama usemavyo,post yako imenigusa sana naona ndiyo utakaepewa hiyo ela nakusihi ukipewa usiipoteze kwenye nauli kwamba uende mwenyewe ila uwatumie hao wajomba zako ili waweze kumsaidia mama atoke kwanza ndiyo mengine yafuate mungu awe naweHabari mkuu..
Nina matatizo makubwa sana ya kifamilia, Mama yangu yupo polis mwezi unaisha huu sababu ya kupita eneo la shamba la mwekezaji wakati mimi nipo chuo na nimekosa mkopo mambo yameenda ndivyo sivyo..
Nimekosa hata nauli ya kwenda kumsabahi mama yangu likizo hii fupi..ingawaje wajomba zangu wanahangaikia atoke natumai watafanikiwa ,tatizo na wao mifuko imekauka..
Hali hii ilipelekeage niandike uzi huu
Ninahitaji mkopo wa Tsh 350,000 , dhamana vyeti vyangu vya elimu
Naomba msaada wako mkuu kama utaguswa ..nisingependa kushindanishwa ..
Unaitwa Nani? Ngoja nkufollow umenifurahisha...Pole sana my dear sote tunajua maumivu ya mama haswa kama umri umeenda alafu yupo ndani kama usemavyo,post yako imenigusa sana naona ndiyo utakaepewa hiyo ela nakusihi ukipewa usiipoteze kwenye nauli kwamba uende mwenyewe ila uwatumie hao wajomba zako ili waweze kumsaidia mama atoke kwanza ndiyo mengine yafuate mungu awe nawe
Nimesoma na ya professor but to me still captain dunga deserves hiyo ela,usifanye utani mtu yupo hadi radhi kuweka vyeti vyake original vya elimu ili apate mkopo,,,by the way ulisema zawadi unatoa leo naona kimya au ushawapatia hukoNapata shida sana kuhusu nani wa kumsaidia kati ya Captain Dunga na Professor....Sababu wote wanahitaji msaada na ishu zao ni serious sana na ....lakini najua kwa uwezo wa Mungu ataniongoza kati yao nani anahitaji zaidi.... [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
Habari za jumapili wanaJF,
Kwanza namshukuru mwenyezi Mungu kwa pumzi aliyotupatia mpaka tumefika mwisho wa mwaka kwa neema yake pia tutauona mwaka mpya.
Kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa yote aliyonitendea kwa mwaka mzima narudisha shukrani kwa jamii.Najitolea kumpa member mmoja kiasi cha shilingi 100,000/= kama shukrani..
Ili kupata pesa hii niambie unadhani ni kwanini unastahili kuipata na utaifanyia nini..nitasoma comment na mshindi nitamchagua 2/1/2018..Asanteni sana.
Naweza kuwa na ndugu kijijini lakini pia mijini kuna watu wanahitaji zaidi ya ndugu zangu...Usione watu wanacheka nje hujui anayopitia na hajui wapi aombe msaada...Afadhali ndugu zangu wanaweza niomba lakini kuna waliokosa kabisa....Mwisho kabisa kutoa sio kwamba una utajiri au ziada au kutafuta sifa ni njia ya kushare wale wanaohitaji kwa kidogo ninachopata...hope uwe na moyo huo pia...Mungu akubarikiHalafu utakuta ndugu yake kijijini anakufa njaa kwa kukosa hela ya mboga!!
Hii haina tofauti na enzi za Papa Musofe na Twanga Pepeta!
Ubarikiwe..coment ya uyo mtu imenikumbusha aina ya watu nao ishi nao. Ukichangia msiba au tatizo lolote la mtu zaidi ya elfu ishirini unasemwa una hela..jaman, Mwenyezi Mungu atuongoze kujua kuwa kutoa ni moyo na si utajiriNaweza kuwa na ndugu kijijini lakini pia mijini kuna watu wanahitaji zaidi ya ndugu zangu...Usione watu wanacheka nje hujui anayopitia na hajui wapi aombe msaada...Afadhali ndugu zangu wanaweza niomba lakini kuna waliokosa kabisa....Mwisho kabisa kutoa sio kwamba una utajiri au ziada au kutafuta sifa ni njia ya kushare wale wanaohitaji kwa kidogo ninachopata...hope uwe na moyo huo pia...Mungu akubariki
Be blessed Mama..Heri ya mwaka mpya ndugu zangu tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuvuka salama....kama nilivyoahidi give away yangu bahati mbaya nimeshindwa kati ya members wawili yupi hasa nimpe sababu wote wamenigusa sana sana....Kwahiyo mwisho nimeona niwagawie nusu nusu wote kila mmoja 50000 nimeshindwa kabisa kuchagua mmoja.....Kama ndugu na familia ya JF kwa ujumla atakayeguswa zaidi tuungane kumsaidia ndugu yetu Captain Dunga nitashukuru sana na Mungu atawabariki
Watu hawajui kwamba kwenye jamii tunayoishi kuna watu wanahitaji sana na kama una uwezo wa kumpa furaha japo kwa kidogo share tuu Mungu atakubariki....Asante sanaUbarikiwe..coment ya uyo mtu imenikumbusha aina ya watu nao ishi nao. Ukichangia msiba au tatizo lolote la mtu zaidi ya elfu ishirini unasemwa una hela..jaman, Mwenyezi Mungu atuongoze kujua kuwa kutoa ni moyo na si utajiri
Yaan wewe, kuna kitu kinahitajika kufanyika juu yako ili ukae sawa..kwahyo msaada unatoa kwa ndg tu au watu unaowafahamu??. That can sometim be termed as sehemu ya majukumu yako. Yu hav to b aware kwamba there are so many blessings ktk kusaidia mtu/ watu usowajuaHalafu utakuta ndugu yake kijijini anakufa njaa kwa kukosa hela ya mboga!!
Hii haina tofauti na enzi za Papa Musofe na Twanga Pepeta!
Hongera kwa uamuzi wa busara best mungu akukuuzie kipata chako mwaka huu ili ujitolee zaidi.Heri ya mwaka mpya ndugu zangu tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuvuka salama....kama nilivyoahidi give away yangu bahati mbaya nimeshindwa kati ya members wawili yupi hasa nimpe sababu wote wamenigusa sana sana....Kwahiyo mwisho nimeona niwagawie nusu nusu wote kila mmoja 50000 nimeshindwa kabisa kuchagua mmoja.....Kama ndugu na familia ya JF kwa ujumla atakayeguswa zaidi tuungane kumsaidia ndugu yetu Captain Dunga nitashukuru sana na Mungu atawabariki