Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,085
tatufa mjamaaa mmoja boya boya hata akuhug
boya boya maeneo gani?
tatufa mjamaaa mmoja boya boya hata akuhug
wewe utakuwa muhuni mimi naeleza hisia za kweliaisee, stori mbona yangu hiyo..sema jina tu ndio limebadilika..na mimi najisikia hivyo hivyo yaani..bora kuna mwenzangu hapa najiona siko mwenyewe mwenye tatizo kama hilo, yaani natamani kila msichana ninayemwona mbele yangu..yaani nimesoma jina lako tu tayari nimeshakutamani..sijui hii hali itakwisha lini..
ntajiharibu bure
i hate punyeto mi simshauri .... inakufanya unajifeel guilt sana
good umekosoanyie ndio wale wawakilishi wazuri wa shetani nyie, mungu hakuumba vibrator aliumba sehemu za kiume zitumike kwa wakati wake na kwa njia sahihi..sasa hiyo vibrator..imekujaje humu..au na wewe ndio uimeshageuza vibrator kuwa mumeo rasmi?? Acha kuingiza wenzako katika tabia za ajabu ajabu kama hizi..nyie ndio mnaotuletea kiama..shindwa na ulegee
sasa nitakupaje ushauri na msaada?
tatufa mjamaaa mmoja boya boya hata akuhug
nyie ndio wale wawakilishi wazuri wa shetani nyie, Mungu hakuumba vibrator aliumba sehemu za kiume zitumike kwa wakati wake na kwa njia sahihi..sasa hiyo vibrator..imekujaje humu..au na wewe ndio uimeshageuza vibrator kuwa mumeo rasmi?? acha kuingiza wenzako katika tabia za ajabu ajabu kama hizi..nyie ndio mnaotuletea kiama..shindwa na ulegee
electronically iwe kianalogia au digitalia lakini tusikutane kifizikia
heri mwanaume kuliko punyeto ....upuuuzi mtupuhasa guilty ya nini? Heri hiyo kuliko kusarandia wanaume ovyo...
sidanganyiki labda nikaribie kwa simukaribu kwangu, nitakusaidia kwa moyo wote.
sio boya kiiivo ngoja ni kupm hapa wanga wengihamu na matamanio niliyonayo yanajumuisha wanaume wote kuanzia maboyaboya mpaka wale waliosmart
boyoboya linaweza kukulazimishia tena peku yaogope kabisa
Wewe Smile mwogope Mungu. Unamdanganya mwenzio Marytina kuwa una miaka 5 bila ... wakati week end iliyopita tulikuwa pamoja na week end hii tumepeana bonge la appointment! Au labda siku ndiyo unahesabu mwaka? Samahani kama utachukia darling, ila next time nitafanya siri kabisaaaaa.usije ukabaka kuku..teh
acha kuwaza ngono my dear...
mbona mimi nina miaka mitano napotezea tu..
big deal ni nini hata...
Kibongo bongo hata uwe waziri hukosi wasaa wa kuwaza mambo flani tuwe wakweliNi vyema ukawa mvumilivu pia jaribu kufuta yale mawazo. Pia jitahd kujiweka busy mda wote ili usiwe na matamanio ya aina hyo. Hzo hsia huja kwa muda ambao utaanza kuwaza mambo hayo.
ntajiharibu bure
hapo sasa umeongeaKifizikia public place ni zur zaid.
heri mwanaume kuliko punyeto ....upuuuzi mtupu