End of the road, A point of no return

End of the road, A point of no return

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,090
1440829255562.jpgnever give up for in the darkest hour there is always a twinkle of light to lead you through 1440829255562.jpg
 
Sijafaham mkuu nini unamaanisha.

Kuna wakati tunakwama kuna wakati tunatatizika na kufikiri kuwa ndio mwisho wetu.... Lakini Katika zile dakika za mwisho za kukata tamaa msaada hutokea
Huyo jamaa hapo alishakata tamaa na kujiona anafia jangwani lakini alipata msaada hatimaye
 
Huyo jamaa hapo alishakata tamaa na kujiona anafia jangwani lakini alipata msaada hatimayd

Kula like mkuu
 
Kuna wakati tunakwama kuna wakati tunatatizika na kufikiri kuwa ndio mwisho wetu.... Lakini Katika zile dakika za mwisho za kukata tamaa msaada hutokea
Huyo jamaa hapo alishakata tamaa na kujiona anafia jangwani lakini alipata msaada hatimaye

Mbona kama umepost bila kutegemea? sio kwamba ulikua unaituma kwenye group za Whatsapp?
 
Wow!!! Mshana jr hii ni inspiration nzuri sana kwa waliokata tamaa nimeipenda sana
 
Back
Top Bottom