Abuubakar munis
Member
- Dec 14, 2011
- 51
- 5
Tomato....... Ops CCMSource please...
Facebook???
Mbona mie nishajitoa kitambo kwa kudelete AC 100%
mnh na hivi wengine ni mateja....
mmmmh?!?Why..
mie teja mwenzio,asubuhi nikiamka ni facebook na kitu cha mwisho kufanya kabla ya kulalani facebook....:redface:
mie teja mwenzio,asubuhi nikiamka ni facebook na kitu cha mwisho kufanya kabla ya kulalani facebook....:redface:
hapana kule huwezi kujitoa unaweza ku activate AC any time kwa ku Log in
no,unaweza kujtoa kabisa,hata mie nina miezi 7 tokea ni-delete ac yangu.type 'delete facebook account completely' kwenye google utapata iyo link..within 18 days without accessing it utakuwa umeifuta mkuu!!
wEWE MGENI NINI? uamini kama kuna kujiondoa mia mia?hapana kule huwezi kujitoa unaweza ku activate AC any time kwa ku Log in