Enakuaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enakuaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by donlucchese, Mar 24, 2011.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,415
  Likes Received: 3,539
  Trophy Points: 280
  Jamani ivi inakuaje,unakuta mwanaume mtanashati una mvuto,nadhifu,maridadi etc. But kila unapojaribu kumuaproach mdada fulani unajikuta una kula kibuti? Halafu,hivi kwanini siku hizi mapenz yamehamia mifukoni nikimaanisha pesa? Yan cku hz bwana wewe kama una gari yako nzur na vijisent kadhaa walah tena utakua na mwanamke yoyote utakaemtaka. Sasa inakuaje kuhusu msemo wa money cnt buy love?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160

  Nachukia mnavyojazana ujinga hivyo!!!
  Unadhani kila mtu anaweweseka na vijisenti na kigari???Think again brotha!!
   
 3. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,415
  Likes Received: 3,539
  Trophy Points: 280
  u didn get me ryt. I didn mean u cn get any woman with those stuffs but most of them wanadanganyika kirahis n dats what i meant. Sorry,but sie 2lio vyuoni 2naona jins gar zinavopishana ucku kuwachukua na kuwarudsha,wenyewe wameridhika
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  But yet you said ''unaweza kumpata mwanamke yeyote'' ????
  Haya tena....kwahiyo mtu akichukuliwa na gari basi ishakua tabu!!Unajuaje kwamba hakuanza mahusiano na huyo mtu kabla hajapata gari?
   
 5. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ushasema money cant buy love, umeona mkuu umejijibu mwenyewe, yaani hapo hapendwi mtu linapendwa pochi lake na kalift ka kila siku, nani anapenda kudandia daladala, akishampata wake wa moyo anateleza shwaaaaaaaaa kama kakanyaga mlenda
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  utanashati/umaridadi/nadhifu haumfanyi mwanaume kuwa bora kwa mwanamke fulani,kila mwanamke ana anachotaka kutoka kwa mwanaume......maisha magumu hakuna mtu anataka mtu wa kumuongezea mzigo,we kama huna kitu tafuta tu kwanza,at least uwe na hela ya mboga,kuhusu gari zuri na hela na kumpata mwanamke yeyote unayemtaka unajidanganya......gari zuri kwanza its a relative term...wengine mark two ndo gari nzuri, na kiasi cha hela unazoziona nyingi pia zaweza kuwa senti kwa mwanamke......na wapo wanawake wameridhika na walichonacho,kidogo au kikubwa,hela haiwafanyii uamuzi wa wawe na nani na wasiwe na nani....

  money can not buy love.....mwanamke anayependa hela zako hakupendi wewe....ila wapo wanaopenda mwanaume na hela zake :juggle:
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  miss you dearest.....mwambie dogo,si kila mwanamke anaweweseka na vijisenti na vigari......sasa wenye magari na vijisenti na zaid inakuwaje?
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Me too dearest....huko bize unatoka lini???
  Aisee the boy has to learn that enzi za kutetemekea gari zimepita. Siku hizi wanawake wana masenti sasa watawewesekaje na vijisenti bwana!!!
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  ataelewa tu ngoja akutane na wenye masenti ndo atajua.....huku bize natoka mwezi wa tisa dearest....navyokupenda haiishi wiki lazima nije nikupe hi hapa....!!!:juggle:
   
 10. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,415
  Likes Received: 3,539
  Trophy Points: 280
  All said r true but i conducted a research nikagundua kwamba most of the girls nawdays r kinda greedy. Ni wachache wanaojiheshimu nakujithamini ambao hawadanganyiki na vi2 vidogovidogo but stil wapo ambao ni malimbukeni ambao wanaojali wao ni wat u got in yo pockets,u cnt argue that. Cyo wadada2,pia hata vijana wadogo ambao wanatembea na wanawake umri kama mama zao ili "walelewe". MONEY CNT BUY LOVE BUT SMTYMS IT COSTS ALOT 2GET LOVE,WATAALAM WA FINANCE 2NAITA IMPLICIT COSTS
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Dah....mbali kweli dearest!!!Pole lakini....hopefully hapachoshi sana huko busy!!!!Me love you too......uwe unanichungulia now and then!!!
   
 12. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kumbe una majibu yote
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kuna kitu kinaitwa chemistry....
  sijui nikielezaje kwa kiswahili...
  kama chemistry haipo,hata uwe na pesa na utanashati utapigwa kibuti..
  na kama chemistry ipo,ni rahisi mno.
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160

  Kawaambie hao hao wa chuoni kwako ulipo usituunganishe na sisi umesikia eehhh

  Peleka mambo ya chuo hukohuko eti hawajiheshimu na kujithamini naona uko kishule zaidi kaongee nao hukooooooooooooo
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahh pole
  umepigwa chini mara ngapi
  Mzeewalolliondo kwa kweli

  Unaweza kuwa nakila kitu
  lakini kama Una personality chachu
  Sana sana utachakachuliwa tu..

  Omba Mungu usikutane na ma golddigger
  Utajuta..na usidhani kama Una kila kitu
  Unaweza kumpata kila mtu..
  hiyo mentality mbaya sana ...

  Kwanini usimtafute kiboko mwanzako
  Ili usishushe ahadhi yako (PJ)

  I'm out...
   
 16. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,731
  Likes Received: 8,314
  Trophy Points: 280
  Jamani, the guy nids some compassion..anaongea out of desperation!
   
 17. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Inabidi ujue tofauti kati ya love na sex, you can buy sex but not love
   
 18. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,035
  Trophy Points: 280
  Jamani si wanawake wote pesa mbele, na wale wanaolelewa na wanawake je tusemeje?
   
 19. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,415
  Likes Received: 3,539
  Trophy Points: 280
  afrodenzy tru words spoken
   
 20. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,415
  Likes Received: 3,539
  Trophy Points: 280
  mentor,av u studied even a lil bit of human phsychology?
   
Loading...