Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,570
- 21,735
.......
Kwanini usingemchunguza kwanza ukakubali tu kusikiliza uongo wake? Na baada ya kujua mbona umeendelea kuwa nae?Uboya wangu uko wapi mkuu? Maana wakat nakutana naye aliniambia hana mtu, na alikuwa huru tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
poa ila mwanamke ndio kwanza mmekutana hata mwezi hamna tayari mmeshazini mara hapo hamna mwanaume wala mwanamke wote hamna mlilokua mnalitaka zaidi ya kuzini tuNimekuambia baada ya kuona simwelew ndio nimeamua kuachana naye kumbuka hatuna mda mrefu sana....kuhusu kuchunguza nilifanya hivyo wiki moja tu maana mpaka anapoishi nilikuwa naenda na nilipojiridhisha kwamba hana makando kando ndio nikazama......ww ulitaka nimchunguze mwaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok,mpaka hapo wewe ni mshindi;akifika kazini,mwambie suluhisho ni kwenda kuishi na wewe.Asante sana mkuu kwa ushaur, hilo la kumtoa hapo anapoishi nilishaongea naye, kuna siku walirushiana maneno na huyo jamaa demu akasirika sana akapaki mabegi yake akaniambia nikamchukue aje tuishi wote, nikakodi gar kwa mwana kufika kule demu kabadili msimamo ananiambia ngoja akili itulie kwanza, toka siku hiyo nikaanza kumpotezea....
Sent using Jamii Forums mobile app
Usichukulie watu poa jombaa kwa kutuona hapa JF ukafikiri kila mtu yupo cheap kama wewe.Demu yuko vizur tena bora mm angalau nimemla baada ya wiki nahic ungejuwa ww ungemla siku hiyo hiyo....toa ushaur mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo inabidi kuwa mpole tuTatizo mm simuhitaji tena mkuu, labda iwe njia ya kumpunguza hasira asije akakinukisha japo kwa jinsi ninavyomuona kama anakuja kuniharibia CV aisee......
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mchukue awe beki tatu wakoKuna binti mmoja kutoka Arusha nilikuwa naye kwa mahusiano mwezi sasa, tushafanya naye kama Mara tatu hivi ndani ya mda huo.....Huyu binti nilikutana naye sehemu ninayofanyia kazi, yupo visiwa vya karafuu na huku kuna jamaa alimleta kutoka huko Arusha aje kumfanyia kazi bahati mbaya naona lengo la mshikaji lilikuwa kumtumia huyu binti kimapenz japo binti hajaridhia kihivyo, jamaa mbali na kuwa na wake wawili still bado anamtaka na huyu binti na kuna chumba cha mke wa pili ambaye yuko Oman kwa sasa ndipo anapoishi huyu binti.
Kusema kweli kabinti kazuri, keupe na chura kama yote japo alishawahi kuolewa huko Kondoa ila akaachika,
Mahusiano yetu kwa siku za kwanza yalikuwa mazur sana, sasa tatizo hizi siku za karibuni nimegundua demu anamsikiliza sana huyo jamaa, yaan naweza toka naye akiona simu ya mshikaji tu basi anakuwa na wasiwasi kupita kiasi na ukimuuliza anakupa majibu mepesi, hichi kitu kinanikera sana maana siku za mwanzo hayakuwa hivi na ukizingatia mm ndiye ninayemuhudumia vitu vingi.
Sasa Leo nimeamua kutemana naye mazima baada ya kuona ananiltea mapicha picha , ila naona mwenzangu nahic hakurahia na amehamaki kupita kuachana naye.
Tatizo linakuja ameniambia kesho anakuja sehemu ninapofanyia kazi akidai nimweleze kwanini nimempotezea muda wake, hapo kazini kwenyewe Nina miezi mi3 tu, kiukweli mm sipendagi Shari na binti inaonekana kajipanga kwa Shari ....
Nina hofu ataniharibia kazini, sasa hapa natafakar nimfanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app