Empty container for sale
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 2,544
- 2,052
Ungesindikiza na picha tuone na hali ya container lenyewe
Ndo Kazi yangu MkuuLiko moja au ndiyo shughuli yako?
Okay sawa Mkuu nimekupata ngoja nijipange ntakushtuaNdo Kazi yangu Mkuu
Ila container za ft 20 kwa bajeti ya 3M huwa sio kila siku hutokea Mara moja moja.
PamojaOkay sawa Mkuu nimekupata ngoja nijipange ntakushtua
Hili unaliwekeza Mzigo linaondoka noa unakuwa UmesaveItanidharim kias gan kulisafirisha mpaka Sumbawanga. Mwenye kufaham
Aonyeshe ndani na njeUngesindikiza na picha tuone na hali ya container lenyewe
FactHili unaliwekeza Mzigo linaondoka noa unakuwa Umesave
Kwa 1 haiendi?Ndo Kazi yangu Mkuu
Ila container za ft 20 kwa bajeti ya 3M huwa sio kila siku hutokea Mara moja moja.