Employment, outsourcing and recruitment agencies.

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Habari wa ndugu.
Naomba mnisaidie kuhusu hizi Kampuni kama zipo na msaada wake kwa
jamii/ wanaotafuta Ajira au waajiri.
Je zinaendeshwaje na kuhakikisha watu hawatapeliwi? Mwenye
ushuhuda wa kupata ajira kupitia Kampuni hizi, anisaidie kujua
alifanyaje.
Ahsante sana.
 
Hao wanasaidia kwani wanakupa kazi ambayo itakuwezesha kujikimu kimaisha.

Zinaendeshwa kwa mfumo wa kamisheni kutoka kwa mwajiri wake Via wewe" mfanyakazi wao" kwa ishu ya kutapeliwa itategemea na wewe mwenyewe kujua haki zako za msingi na kuzidai "kama watakuajiri" Mi nimefanya nao kazi kwa muda wa miaka miwili. Peleka cv yako kwao then watakuita ikitokea kazi ambayo inaendana na cv yako. Kama vp peleka cv yako masaki kuna kampuni moja hivi ni maarufu sana hapa mjini
 
Back
Top Bottom