whitedoug3
Senior Member
- Nov 6, 2014
- 108
- 26
Ahhh sasa hivi mi nimenogewa na POWER, EMPIRE imeanza kunitoka kwasababu ya ku-promote ushoga.
Ahhh sasa hivi mi nimenogewa na POWER, EMPIRE imeanza kunitoka kwasababu ya ku-promote ushoga.
Ndg ushoga sasa hivi upo karibia kila series, usishangae kuona na huko ulipo concentrate unaletwa.
Hapana aiseee. Kwa jinsi POWER ilivyo sioni kabisa nafasi ya character yenye mlengo wa ki-Cameroon. Hamna kabisaaaaa!Ndg ushoga sasa hivi upo karibia kila series, usishangae kuona na huko ulipo concentrate unaletwa.
kwakweli power ni balaa..Empire inasubiri. Tafuta na If loving you is wrong..nahisi utaipenda pia Lizzy
Power ni shida man.....They show is really cool nd interesting.
Empire is over rated with singers and artists, haina issue na huo u-gasho ndio kabsa inatia kinyaa.
Power bana ni vitu real vina happen in real life na ule u mafia wa 50 na Ghost St. Patrick ni raha sanaaa. Wale majamaa kweli wanaijua hela. Lile cartel lao lilivyo kua well organised, utapenda. Mapenzi ndio yatawa cost mno.
Heart nipe summary ya hyo series unayo recommend. Lol
Power... Nipe kdg nipate mzuka wa kuisaka
Senior Boss unajua kuelezea story hadi raha,nimekukubali aisee
Thanks senior boss....umenishawishi aisee